
SEHEMU YA PILI.
Unatakiwa uwe unasevu/hifadi kazi yako mara tu unapoanza kuandika ili kuzuia upotevu wa kazi yako endapo umeme utakatika/zimika au endapo kitatokea kitu chochote kile ambacho kitapelekea kazi yako kuvurugika.
Kuna tofauti kubwa kati ya neno SAVE na SAVE AS
Save inamaanisha kuwa tayari ulishasevu kazi yako na kuwa unaendelea kusevu yale uliyoyaongezea.
Save inamaanisha kuwa uhifadhi kazi yako katika folda/faili na uipe jina kwa kadri utakavyopenda kulipa jina lako.
Pia kila baada ya kuandika kwa muda fulani itabidi usevu .Hii inamaanisha kia baada ya kuandika kwa kiasi fulani unapaswa kusevu kazi yako.
kazi zako zote inabidi uzisevu kwa majina tofauti tofauti.
Maelekezo ya kusevu huweza kupatikana katika menu baa

Pia unaweza kutumia tuli baa kama njia nyingingine ya kusevu

Njia ya tau ni kutumia njia ya mkato (shotcut) hii ni kupitia kwenye kiibodi yako unabonyeza CTRL+S

Katika orodha ya kitufe cha faili/ File menu, bonyeza neno tunza kama/Save As (..). A tunza kwenye/Save in: kisanduku cha maelekezo kitatokea.

Bonyeza kimshale kinachotizama chini pembeni ya neno hifadhi kwenye/save: in ili uchague folda unakotaka kuhifadhia kazi yako.

Baaada ya kumaliza kuchague sasa bonyeza kitufe kilichoandikwa hifadhi/ Save mkono wako wa kulia ili uhifadhi kazi yako.

Bonyeza kwenye kitufe kilichoandikwa File kwenye faili menu kisha chagua save as
Chagua draivu au folda unayotaka kusevia kazi yako

Andika jina kisha boinyeza hifadhi/save as
Word
Kufanyakazi na /wediword
Bonyeza kwenye herufi "B" iliyoko kwenye Fomatini Tuli Bar/ Formatting Toolbar Kisha andika maandishi yoyote uone mabadiliko yatakayojitokeza pale utakapo badili mfumo wa ukurasa wako.
Fomatini Tuli Baa/Formatting Toolbar
Upande wa kulia wa standadi tuli baa/standard tool bar kuna fomatini tuli baa/formatting tool bar ikiwa na vitufe/batani/buttons ambavyo unaweza kuvitumia kuunda/kuumbia herufi na aya.
Maandishi yanahamia/yanaanzia kushoto

Maandishi yanahamia/yanaanzia katikati

Maandishi yanahamia/yananzia kulia

Bonyeza kwenye herufi "B" iliyoko kwenye Fomatini Tuli Bar/ Formatting Toolbar Kisha andika maandishi yoyote uone mabadiliko yatakayojitokeza pale utakapo badili mfumo wa ukurasa wako.
Chagua kifungu cha maneno kisha bonyeza kwenye mojawapo ya njia mbalimbali za kubadili kurasa kisha uone jinsi kurasa zitakavyobadilika toka upande mmoja hadi upande wa pili mfano: kutoka kushoto hadi kulia au kutoka kati hadi kulia au kushoto.
Hii mifano hapa chini inajumuisha pamoja na njia za mkato (shortcut) za kutumia hivi vitufe na ukiangalia kwenye hiyo mifano utagundua kuwa kila unapotaka kutumia njia hizi unahitajika kuchagua kwa kukubonyeza na kushikilia kitufe kilichoandikwa "ctrl" kisha kitufe kilichoandikwa "A" iliuchague kwanza.Baada ya kuchagua maandishi huwa na rangi nyeusi hivi nyeusi ikikujulisha kuwa tayari umechagua. Baada ya kubadilika rangi kinachofuata ni wewe kubonyeza herufi nyingine kutoa maelekezo kuwa kifanyike nini
: Mfano:"ctrl" na "E" humaanisha paste
: Mfano:"ctrl" na "C" Copy
: Mfano:"ctrl" na "left" maandishi yanaanzia kushoto
: Mfano:"ctrl" na "center" maandishi yanaanzia katikati
: Mfano:"ctrl" na "right"maandishi yanaanzia kulia
Hizo ni baadhi tu ya njia za mkato ila zipo nyingi zaidi kwa kuzingatia kuwa siku za nyuma kulikuwa hamna mausi/kiongozeo na watumiaji wa kompyuta walikuwa wakitumia vitufe vya kwenye kiibodi kufanyia kila kitu.
Unaweza kubadili muundo wa waraka /habari/barua au kazi yako yoyote hata kama ulikuwa umeiandika/imeandikwa siku nyingi zilizopita .
Kinachotakiwa ni kuchagua/select na kisha kubadili kama unavyotaka kazi yako iwe.

Unapotaka kufanya maandishi yakolee rangi/kuboldi inabidi kwanza uyachague hayo maandishi kisha unapeleka kionesheo/kasa kwenye herufi B kwenye menu baa na kisha unaibonyeza na hapohapo maandishi uliyoyachagua yatakuwa na rangi ya mkolezo

Kufanya maandishi italiki ni kule kuyafanya yawe ya ulalo na pi yawe membamba .hii huweza kutumika kuonyesha msisitizo au kupamba maandishi. Ilikufanya hivyo unapaswa kuchagua maandishi unayoyatak kisha unapeleka kionesheo/kasa chako kwenye herufi i nakisha ubonyeze. Hapo tayari utakuwa umeyabadilisha katika muundo ulioutaka.

Unapotaka kupigia mstari waraka aya au kifungu cha maneno inabidi uchague maandishi yako kisha kwenye menu baa yako unabonyeza neno U ambalo linamaanisha pigia mstari/Underline.

Tudi Juu/Top of document
Kwenye kitufe cha "view" kuna aina mbali mbali za kuweka uonekano wa kurasa kama vile: Normal View, Web Layout View, Print Layout View or Outline View ambavyo vyote hupatikana pia upande wa kushoto wa skro baa iliyokaa kiulalo. Andika maandishi yoyote yale kisha ubonyeze moja baada ya nyingine ilikuona mabadiliko hayo.

Njia mbali mbali za mkato/Short cuts
Katika kufanya kazi na wedi/word unapaswa kufahamu angalau njia chache za makato ambazo zitaweza kukurahisishia utendaji kazi wako. Hapa chini kuna baadhi ya njia za mkato ambazo ni vyema kuzifahamu.
Chagua kifungu cha maneno kisha
bonyeza kwenye mojawapo ya njia mbalimbali za kubadili kurasa kisha uone jinsi kurasa zitakavyobadilika toka upande mmoja hadi upande wa pili mfano: kutoka kushoto hadi kulia au kutoka kati hadi kulia au kushoto.
Hii mifano hapa chini ni baadhio ya njia za mikato (shortcuts) zinazotumiwa kwa kiasi kikubwa na ukiangalia kwenye hiyo mifano utagundua kuwa kila unapotaka kutumia njia hizi unahitajika kuchagua kwa kukubonyeza na kushikilia kitufe kilichoandikwa "ctrl" kisha kitufe kilichoandikwa "A" iliuchague kwanza.Baada ya kuchagua maandishi huwa na rangi nyeusi hivi nyeusi ikikujulisha kuwa tayari umechagua. Baada ya kubadilika rangi kinachofuata ni wewe kubonyeza herufi nyingine kutoa maelekezo kuwa kifanyike nini
: Mfano:"ctrl" na "X" kopi kisha uhamishe bila kuacha nakala/Cut
: Mfano:"ctrl" na "E" humaanisha paste
: Mfano:"ctrl" na "C" Copy
: Mfano:"ctrl" na "s"sevu/Save
: Mfano:"ctrl" na "P"Chapa/Print
: Mfano:"ctrl" na "O" Fungua/Open
: Mfano:"ctrl" na "N"Fungua waraka mpya/new document
: Mfano:"ctrl" na "left" maandishi yanaanzia kushoto
: Mfano:"ctrl" na "center" maandishi yanaanzia katikati
: Mfano:"ctrl" na "right"maandishi yanaanzia kulia
Hizo ni baadhi tu ya njia za mkato ila zipo nyingi zaidi kwa kuzingatia kuwa siku za nyuma kulikuwa hamna mausi/kiongozeo na watumiaji wa kompyuta walikuwa wakitumia vitufe vya kwenye kiibodi kufanyia kila kitu
Align Left,

Align Center,

Align Right

Justify


Kupata msaada/Getting help
Hapa tutajifunza kuwa kuna msaada wakati unapokuwa unafanya kazi yako kupitia kile kiitwacho Office Assistant .Kupitia hiki unaweza kuandika swali lolote na kusechi na kupata jibu unalolihitaji.

Pia kupitia hiki utajifunza matumizi mbalimbali juu ya kile unachokifanya.
Katika kupat msaada office assistant huweza kupatikana katika hali au sehemu mbili
Moja ni kwenye menu baa sehemu ilyoandikwaHelp

Mbili office assistant hupatikana Pale unapobonyeza F1 kwenye kiibodi yako

Tatu ni upande wa kulia wa srini yako juu kabisa kwenye alama ya kuuliza



Office Assistant huwa inapatikana katika picha mbalimbali kulingana na aina ya kompyuta. Ila inapatikana tu katika
[Back to top]
[Rudi nyuma (Back)-Word1]
[Endelea(Next) Word3][
Rudi Kwenye yaliyomo-Contents]